Afu nyuzi nyingine unakuta page mbili hakuna hata post yenye like hata 3 basi sijui naonAje naboreka
Hahahahaha unamuonaga kwingineIla majukwaa mengine amejaa tele
Ligi zingine hazina maana. Afadhali kama ni thread yako umeanzisha hata ukiisimamia ni sawa. Wakati mwingine hata nguvu za ligi hakuna hasa kama ligi yenyewe ikigeuka na kuwa ya matusi.Hahahaa nimetaman angeniquote mie aiseee ningepotea humu kwa muda na kuweka makaz ndan ya uzi huo. Napenda ligi hahaha
Huu uzi ushakulevya sasa ni wakati wa kupumzika,hamia hata jamii photos kuleAfu nyuzi nyingine unakuta page mbili hakuna hata post yenye like hata 3 basi sijui naonAje naboreka
Kimfaacho Mtu chakeWabahili ila mie wala nshazoea. Kuna thread yangu nimeigeuza albam namwaga tu picha kila siku sijal kuna likes au hakuna
Bado napepesa macho kuleIla bado nimetoka kuchungulia
Atakosa likes na marafiki kazoea wa humuHuu uzi ushakulevya sasa ni wakati wa kupumzika,hamia hata jamii photos kule
Mambo ya kawaida shemeji. Siku hizi kidogo nimekua na nimejifunza kuwa njia nzuri wakati mwingine ni kupotezea tu. Labda mtu akizidi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] pole sana shemeji
Acha tu love yaani humu, ila sababu kwingine huko unaweza jiona Mgeni but huku full kujiachiaHuu uzi ushakulevya sasa ni wakati wa kupumzika,hamia hata jamii photos kule
Akiweka niite nipo hapaBado napepesa macho kule
Na ataumwa kwakwel mana huu uzi haufaiAtakosa likes na marafiki kazoea wa humu
Thread gani hiyo?Wabahili ila mie wala nshazoea. Kuna thread yangu nimeigeuza albam namwaga tu picha kila siku sijal kuna likes au hakuna
Wakati mwingine inasaidia hebu fikiria mtu ukimkimbia leo ujue kesho ukiingia tena jukwaa hilo atakufuata tena na ukikimbia atajiona kiboko yako. Ya nn kukosa uhuru ndan ya JF. Kule siasan wapo hivyo,mtu akiamua kukuandama anakuandama kweli.Ligi zingine hazina maana. Afadhali kama ni thread yako umeanzisha hata ukiisimamia ni sawa. Wakati mwingine hata nguvu za ligi hakuna hasa kama ligi yenyewe ikigeuka na kuwa ya matusi.
Kukaa kimya ni jibu zuri sana[emoji122][emoji122]Mambo ya kawaida shemeji. Siku hizi kidogo nimekua na nimejifunza kuwa njia nzuri wakati mwingine ni kupotezea tu. Labda mtu akizidi sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Jukwaa la photos inaitwa kicheko ni afyaThread gani hiyo?