...inasumbua au bundle limeisha?Network
Ya buyenzeShimba!
Muda wa kulala huuAlpacino
Ha ha ha hakuna chochote...inasumbua au bundle limeisha?
Sis umeanza. Bado mapema sana subiri kidogo. Ukiweka yale mambo watu watapukutika one by one sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ya tatu maskaniYa pili mtaani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siasa raha sanaNi kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.
Sana tu... Mpaka kielewekempo
Post sent using JamiiForums mobile app