myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaAfya Ya Akili Ni Muhimu Kama Ilivyo Afya Ya Mwili Hivyo Ni Muhimu Kuchukua Hatua Za Kujikinga, Kuomba Msaada Unapohisi Hauko Sawa Na Kujenga Mtindo Wa Maisha Ulio Bora Katika Kutunza Na Kuilinda Afya Yako Ya Akili.
Nakubaliana na weweMarafiki wa kweli husaidia kubeba mizigo ya kihisia.
Usikae kimya ukiwa na maumivu ya ndani
Marafiki wa kweli husaidia kubeba mizigo ya kihisia.
Usikae kimya ukiwa na maumivu ya ndani
KWELI...AKILI NI ZAWADI LAKINI HEKIMA NI CHAGUO."
Hakuna kuchokaNi kweli kuna wakati kila unachofanya hakitokei vitu haviendi huna hata mtu wa kumuuliza ufanye nini kila siku unaona kama unazidi kudidimia ikiwa yote unayo yapitia hayajaweza kukutoa uhai basi amini upo mwanzo mpya wenye mwelekeo mzuri kwaajili yako USICHOKE
Ni kweli kuna wakati kila unachofanya hakitokei vitu haviendi huna hata mtu wa kumuuliza ufanye nini kila siku unaona kama unazidi kudidimia ikiwa yote unayo yapitia hayajaweza kukutoa uhai basi amini upo mwanzo mpya wenye mwelekeo mzuri kwaajili yako USICHOKE
Afya bora ya akili huimarisha mahusiano bora na wafanyakazi wenzako kazini.
βοΈβοΈMoyo....
Moyo uliojaa Upendo hutoa Upendo.
Moyo uliojaa chuki hutoa chuki
SahihiUkweli mchungu kuhusu Maisha ambao unapaswa kuukubali
1. Dunia itaendelea bila wewe
Nakubaliana3. Maisha hayana haki.
Hili pia sahihi2. Watu watakuhukumu haijalishi ufanye nini
βοΈβοΈUkweli mchungu kuhusu Maisha ambao unapaswa kuukubali
1. Dunia itaendelea bila wewe
Ujumbe muhimuChumvi Haina Thamani Kwa Anaye Kunywa Chai Kama Ilivyo Sukari Kwa Anaye Kunywa Supu. Hivyo Basi, Amini Hata Wewe Ni Mtu Wa Thamani Sana, Ila Ni Vile Tu Sehemu Ulipo Hakuna Uhitaji Wako.
Ni sawaaaaOngea na Mtu anae weza kukuongoza kuliko kukuhukumu
πππOngea na Mtu anae weza kukuongoza kuliko kukuhukumu
SawasawaKaa na Moyo wako kwa Utulivu kabla kuamua kumpatia Mtu mwengine
β οΈβ οΈβ οΈPamoja na harakati zako zote usisahau kutunza Afya yako ya akili ni muhimu sana
ππPamoja na harakati zako zote usisahau kutunza Afya yako ya akili ni muhimu sana