Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✅️✅️Jiamini, jitafute, jiheshimu, kisha jikubali sana,na hakikisha unajichanganya na watu, alafu jitoe sana kwaajili ya wengine, na ujitenge na fikra potofu, kisha jitume sana alafu muombe sana mungu lazima utafanikiwa tu.
📌📌Hasira isiyo sikiliza hoja, huandamwa na kisasi kisichokwisha