myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli kabisa hili piaHakuna kitu kizuri hapa duniani ni kama kuwa na furaha,mana mahangaiko yote tunayoyafanya daily ni kwaajili ya kuitafuta furaha kwahiyo tujitahidi kuviheshimu vitu vinvyotupa furaha,mana vikishaondoka huwa havirudigi tena”
SAWASAWA ✔️Mungu akatufanye kuwa washindi hata mbele ya wale wasiokutaka, kwa sababu ushindi wa kweli hautegemei idadi ya wanaokupenda, bali uhalali wa moyo wako na nia njema kwa watu.
Mungu akatufanye kuwa washindi hata mbele ya wale wasiokutaka, kwa sababu ushindi wa kweli hautegemei idadi ya wanaokupenda, bali uhalali wa moyo wako na nia njema kwa watu.
Unaweza kuwa msafi pasi hata kuwachafua wengine,Sio lazima tupigane short na kutengenezeana ajali ambazo hazina maana yeyote ile, kwa sababu leo kwangu kesho kwako, na hayo ndio yetu maisha
Maisha yana changamoto zake,wakati mwingine mambo hayaendi kama ulivyopanga milango inafungwa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kusubiri mlango bora zaidi ufunguliwe. Mungu hakuachi bila njia, VUMILIA tu…!!!
Maisha yana changamoto zake,wakati mwingine mambo hayaendi kama ulivyopanga milango inafungwa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kusubiri mlango bora zaidi ufunguliwe. Mungu hakuachi bila njia, VUMILIA tu…!!!
SAWASAWA ✔️MKUMBUSHE Mwanao kuwa 5+5=10
Lakini pia hata 6+4=10
Kwahiyo kama yake ni 9+1=10
Basi kuna sisi ambao ni 0+10=10
MKUMBUSHE Mwanao kuwa 5+5=10
Lakini pia hata 6+4=10
Kwahiyo kama yake ni 9+1=10
Basi kuna sisi ambao ni 0+10=10
SawasawaUnaweza kuwa msafi pasi hata kuwachafua wengine,Sio lazima tupigane short na kutengenezeana ajali ambazo hazina maana yeyote ile, kwa sababu leo kwangu kesho kwako, na hayo ndio yetu maisha
Jiamini, jitafute, jiheshimu, kisha jikubali sana,na hakikisha unajichanganya na watu, alafu jitoe sana kwaajili ya wengine, na ujitenge na fikra potofu, kisha jitume sana alafu muombe sana mungu lazima utafanikiwa tu.
Haraka haraka..Polepole