myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Ukijitambua, Dunia haiwezi kukupotosha ; Thamani yako haipimwi kwa macho ya watu, bali kwa Afya nzuri ya Mwili, Akili na utulivu wa Nafsi yako
Ukijitambua, Dunia haiwezi kukupotosha ; Thamani yako haipimwi kwa macho ya watu, bali kwa Afya nzuri ya Mwili, Akili na utulivu wa Nafsi yako
SawasawaAssets zako bora za kuzilinda kwa gharama kubwa.
1. Muda -Chanzo pekee kisichoongezwa duniani.
✔️✔️Afya -Utajiri namba moja kabla ya chochote
SawaAfya -Utajiri namba moja kabla ya chochote
👍👍Mindset -Chanzo cha kila mafanikio au kushindwa.
📌📌Energy -Bila nguvu ya ndani, hata wazo zuri halitekelezwi.
✅️✅️✅️Energy -Bila nguvu ya ndani, hata wazo zuri halitekelezwi.
✔️✔️✔️Assets zako bora za kuzilinda kwa gharama kubwa.
1. Muda -Chanzo pekee kisichoongezwa duniani.
UjumbeFikra zako ni sumaku ya maisha yako
Watu wengi wanakimbiza pesa lakini hawajui pesa huwa haikimbii, inavutwa.
Na kitu kinachovutia pesa siyo jasho, siyo kuamka mapema tu ni mtazamo sahihi wa kifedha.
Ukifikiri kwa usahihi, utajiri hukufuata
Badili mtazamo wako.
SawasawaMafanikio huwapata wale wanaoishi kwa kufikiri kama washindi walioujenga utambuzi wa ndani kuwa wao ni mafanikio kabla hata hawajayaona kwa nje.
Unawaza nini kila siku
Unafanya nini kila siku
Unajiona wapi miaka mitano mbele
Chochote unachotaka kinaanza kichwani kwanza.
SawasawaUnapokuwa mtu wa nidhamu, maadili, maono, na bidii, mafanikio huanza kuja kwako.
Unapokuwa mtu wa nidhamu, maadili, maono, na bidii, mafanikio huanza kuja kwako.
Fikra zako ni sumaku ya maisha yako
Watu wengi wanakimbiza pesa lakini hawajui pesa huwa haikimbii, inavutwa.
Na kitu kinachovutia pesa siyo jasho, siyo kuamka mapema tu ni mtazamo sahihi wa kifedha.
Ukifikiri kwa usahihi, utajiri hukufuata
Badili mtazamo wako.
Unapokuwa mtu wa nidhamu, maadili, maono, na bidii, mafanikio huanza kuja kwako.
Fikra zako ni sumaku ya maisha yako
Watu wengi wanakimbiza pesa lakini hawajui pesa huwa haikimbii, inavutwa.
Na kitu kinachovutia pesa siyo jasho, siyo kuamka mapema tu ni mtazamo sahihi wa kifedha.
Ukifikiri kwa usahihi, utajiri hukufuata
Badili mtazamo wako.
Kudumu kwako katika juhudi kila siku (consistency), kutazaa ushindi mkubwa muda si mrefu.
Keep going, keep FOCUSING.
Consistency is the key.
Kudumu kwako katika juhudi kila siku (consistency), kutazaa ushindi mkubwa muda si mrefu.
Keep going, keep FOCUSING.
Consistency is the key.
Mafanikio huwapata wale wanaoishi kwa kufikiri kama washindi walioujenga utambuzi wa ndani kuwa wao ni mafanikio kabla hata hawajayaona kwa nje.
Unawaza nini kila siku
Unafanya nini kila siku
Unajiona wapi miaka mitano mbele
Chochote unachotaka kinaanza kichwani kwanza.