myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuna mtu
-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku
-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani
-Hana vipaumbele kwenye pesa zake
-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima
-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake
Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.

Mafanikio huwapata wale wanaoishi kwa kufikiri kama washindi walioujenga utambuzi wa ndani kuwa wao ni mafanikio kabla hata hawajayaona kwa nje.
Unawaza nini kila siku
Unafanya nini kila siku
Unajiona wapi miaka mitano mbele
Chochote unachotaka kinaanza kichwani kwanza.
📌📌Kuna mtu
-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku
-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani
-Hana vipaumbele kwenye pesa zake
-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima
-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake
Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.
✅️✅️1. Kupata pesa ni sanaa
2. Kuhifadhi pesa ni tabia
3. Kuizalisha pesa ni maarifa
Unaweza kupoteza pesa, Akiba huwa inaisha, Lakini maarifa yakikaa kichwani mwako, utapata na kuizalisha pesa tena na tena.
Bila kum-master namba 3 huwezi kufikia uhuru wa kifedha.
✔️✔️1. Kupata pesa ni sanaa
2. Kuhifadhi pesa ni tabia
3. Kuizalisha pesa ni maarifa
Unaweza kupoteza pesa, Akiba huwa inaisha, Lakini maarifa yakikaa kichwani mwako, utapata na kuizalisha pesa tena na tena.
Bila kum-master namba 3 huwezi kufikia uhuru wa kifedha.
👍👍Adui wako mkubwa ni taswira yako mwenyewe.
-Kuahirisha mambo.
-Tabia dhaifu.
-Visingizio.
Hivi ndivyo vinavyowazika wanaume.
Jishinde mwenyewe, nje na hapo dunia itakushinda wewe.
Nidhamu binafsi ndiyo nguvu ya kweli.
Ukuzaliwa kuwa wa KAWAIDA.
📌📌📌Hatma ya maisha yako haipo mikononi mwa watu, historia au bahati ipo mikononi mwako mwenyewe, kupitia…
-Mawazo unayoruhusu kichwani mwako
-Imani unazojenga au kuamini
-Maamuzi unayochukua kila siku
-Mtazamo wako kwa matatizo, vikwazo, na fursa
Master your FATE.
Kuna mtu
-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku
-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani
-Hana vipaumbele kwenye pesa zake
-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima
-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake
Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.
Kijana kama unasoma huu ujumbe anza kuwekeza mapema. Muda ndio kila kitu
Wekeza kwenye hisa
Wekeza kwenye biashara
Wekeza kwenye ujuzi na maarifa
Wekeza kwenye aridhi na majengo
Thamani yako inapimwa na kile unachomiliki.
BE VALUABLE

👍👍Umasikini ni nini..
•Kushindana na mtu mwenye matokeo unayoyataka
•Kuishi maisha ya kujilinganisha na watu
•Kushindwa kujua unataka nini kwenye maisha yako (kukosa vipaumbele)
•Kuhairisha mambo uliyoyapanga kuyafanya
•Kushindwa kujiheshimu.
EPUKA.
📌📌Kijana kama unasoma huu ujumbe anza kuwekeza mapema. Muda ndio kila kitu
Wekeza kwenye hisa
Wekeza kwenye biashara
Wekeza kwenye ujuzi na maarifa
Wekeza kwenye aridhi na majengo
Thamani yako inapimwa na kile unachomiliki.
BE VALUABLE
Ukitaka kupata kitu unachokipenda kuwa tayari kufanya kitu usichokipenda
Yani ule mchakato wa kufanya ili uyafike hayo unayoyataka huwa sio rahisi, kuna gharama na maumivu lazima uyapitie.
Na kadri unavyoyakwepa kuyafanya ndivyo unavyochelewa kuyafikia.
Lazima ULIPE GHARAMA.
✔️✔️Mambo unayotaka kuyafanya either kwa siku, week au mwezi
Malengo unayoyataka kuyafikia mwaka 1-5
Hakikisha umeyaandika kwenye karatasi na unayasoma kila siku, yasiwe kichwani tu
Ukifanya hivyo unaipa akili yako GPS na njia ya kuyafikia easy
Hakikisha UMEYAANDIKA.
👍👍Umasikini ni nini..
•Kushindana na mtu mwenye matokeo unayoyataka
•Kuishi maisha ya kujilinganisha na watu
•Kushindwa kujua unataka nini kwenye maisha yako (kukosa vipaumbele)
•Kuhairisha mambo uliyoyapanga kuyafanya
•Kushindwa kujiheshimu.
EPUKA.
📌📌Nidhamu siyo mateso ni heshima ya ndani yako.
Ni kujiheshimu na kufanya kile kinachopaswa kufanyika.
Kila mara unapoacha kufanya mambo uliyopanga ni kujiambia kuwa malengo yako hayana maana.
Watu waliofanikiwa hawategemei motisha,
wanategemea nidhamu.
Build discipline.
👍👍👍Imani zako ndio zinazotengeneza matokeo yako.
Badili unachoamini, utaona dunia mpya.
✅️✅️Nidhamu siyo mateso ni heshima ya ndani yako.