myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usisahau ulipo toka si tu ulipozaliwa bali hata katika matendo yako. Tunapokuwa na kuyaona ya Dunia hayafai tena isipokuwa Mungu, tumekuwa watu wa kuwabeza wale wanaotenda yale tuliyotenda tukiwa katika umri wao"
SawasawaKila mtu akipapasa tumbo lake atakutana na kitovu. Ni alama pekee ambayo mama zetu walituchia. Chakula kizuri kilipita hapo ili uwe kama ulivyo sasa. Mungu akajua utasahau, ikabidi aiache ili ukaitendee haki amri ya nne ya utii Kwa baba na mama.
NAKUBALI HILIKila mtu akipapasa tumbo lake atakutana na kitovu. Ni alama pekee ambayo mama zetu walituchia. Chakula kizuri kilipita hapo ili uwe kama ulivyo sasa. Mungu akajua utasahau, ikabidi aiache ili ukaitendee haki amri ya nne ya utii Kwa baba na mama.
SAHIHI KABISAHuwezi kutatua matatizo ya Kila mmoja, iwe ndani ya familia, jumuiya au jamii yako. Lakini hakikisha yule unayekutana nae anapata tabasamu kuliko ulivyomkuta; na hapo ndipo upendo ulipo"
Usifanye mambo yaliyo nje ya uwezo wako. Kutaka kuweza usichokiweza nikujiharibia ndoto ya madogo uliyoyaanzidha tayari. Anza na unachokiweza kwa Sasa
SawasawaSimama kwenye mstari, kuyafikia mafanikio ni LAZIMA. HUU NI MWAKA WA MAFANIKIO KWAKO.
Mafanikio ni matokeo ya juhudi na bidii zako! Endelea kufanya kazi kwa bidii na usikate tamaa. Hakuna kinachoshindikana kwa mtu aliye na azimio la kufanikiwa.
Kuwa na mtazamo chanya ni silaha yenye nguvu katika kukabiliana na changamoto za maisha. Daima tuzingatie upande wa chanya na kuona fursa katika kila hali.
SawasawaMafanikio hayatokei mara moja, na kufikia jambo lolote muhimu kunahitaji juhudi thabiti. Iwe ni kumiliki nyumba, kuanzisha biashara, au kupata heshima, safari huanza na hatua moja
Kukata tamaa ni kosa. Tufosi hadi iwe
Kuwa na mtazamo chanya ni silaha yenye nguvu katika kukabiliana na changamoto za maisha. Daima tuzingatie upande wa chanya na kuona fursa katika kila hali.
SawasawaUsiruhusu maisha yako yawe ni yale yale. Bila kujali umri wako ondoka katika desturi yako; usiruhusu hali hiyo kupita kisha ukajuta baadae ukiwa mtu mzima
SawasawaUsiruhusu maisha yako yawe ni yale yale. Bila kujali umri wako ondoka katika desturi yako; usiruhusu hali hiyo kupita kisha ukajuta baadae ukiwa mtu mzima
NAKUBALIKatika safari ya maisha, jitihada zako leo ndio msingi wa mafanikio yako kesho. Usikate tamaa, endelea kusonga mbele!
KweliAkili za hisia ni muhimu kwa mafanikio, zinawasilisha asilimia 58 ya utendaji bora katika kazi za aina zote.
Sawasawa ✔️ ✔️Kumjua mtu mwenyewe ndiyo mwanzo wa hekima," kama methali ya Kiafrika inavyosema. Kujitambua hukusaidia kukabiliana na changamoto kwa ujasiri na kujenga mahusiano yenye maana. Tufuate ili kuchunguza zaidi safari ya kujigundua na mabadiliko ya kibinafsi.
chochote unachopitia maishani wewe Omba,unapofikiria umemaliza,omba Tena,wakati ulimwengu umelala ,wewe omba.Kumbuka SALA si tu inabadilish Mambo Bali inabadilish na mioyo ya watu ambapo inaweza kubadilisha na Hali yako. Basi ndugu yangu wewe OMBA Kisha jiandae.
SawasawaUpweke hautokani na kutokuwa na watu karibu na wewe, Bali Ni Kutokana na kutoweza kuwasiliana na vitu ambavyo vinaonekana kuwa muhimu kwako!
Kweli hiliUpweke hautokani na kutokuwa na watu karibu na wewe, Bali Ni Kutokana na kutoweza kuwasiliana na vitu ambavyo vinaonekana kuwa muhimu kwako!
Sawasawa ✔️chochote unachopitia maishani wewe Omba,unapofikiria umemaliza,omba Tena,wakati ulimwengu umelala ,wewe omba.Kumbuka SALA si tu inabadilish Mambo Bali inabadilish na mioyo ya watu ambapo inaweza kubadilisha na Hali yako. Basi ndugu yangu wewe OMBA Kisha jiandae.