myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππTunaishi MAISHA YETU Mbele Ya MACHO YAO... Na Bado TUNAJIAMINI.!
βοΈβοΈMATATIZO Yanatabia Yakukurudisha Kwa Yule ULIEMDHARAU.!
Nenda Kwa Mwendo Wako, Mafanikio Sio Mashindano Kila Mmoja Atafanikiwa Kwa MUDA WAKE
SawasawaKuna MUDA wewe na AFYA Mtatafuta PESA.Na Kuna MUDA Wewe Na PESA Mtatafuta AFYA.!"
KUZITAFUTA PESA Kunahitaji UJASIRI Mkubwa Mno.Lakini KUZITUNZA PESA Inahitaji UWOGA Mkubwa Zaidi
KUZITAFUTA PESA Kunahitaji UJASIRI Mkubwa Mno.Lakini KUZITUNZA PESA Inahitaji UWOGA Mkubwa Zaidi
ππNenda Kwa Mwendo Wako, Mafanikio Sio Mashindano Kila Mmoja Atafanikiwa Kwa MUDA WAKE
KUZITAFUTA PESA Kunahitaji UJASIRI Mkubwa Mno.Lakini KUZITUNZA PESA Inahitaji UWOGA Mkubwa Zaidi
Kuwa MKUBWA Ni Pamoja Na KUTAMBUA Kuwa....NUSU ya HEKIMA ni KUNYAMAZA.
ππMWIBA Wa Leo Ni UA La Kesho. Usiogope Unapokuchoma, Vumilia Kwani Hakuna MAFANIKIO Bila Ya MISUKOSUKO..
SawasawaKuna Muda FURAHA Huja Na Kupotea Ingawa HAIDUMU. Ila Inatupa Maana Halisi Yakuishi Kwetu
β οΈβ οΈAnaekunyima Anakufundisha Kutafuta Chako.
UjumbeMWIBA Wa Leo Ni UA La Kesho. Usiogope Unapokuchoma, Vumilia Kwani Hakuna MAFANIKIO Bila Ya MISUKOSUKO..
Ukishindwa kupata BEGA Lakuegemea USIKATE TAMAA. Kumbuka Kuna Sakafu Ya KUPIGA GOTI
MWIBA Wa Leo Ni UA La Kesho. Usiogope Unapokuchoma, Vumilia Kwani Hakuna MAFANIKIO Bila Ya MISUKOSUKO..
NakubalianaHuwezi kuwa na afya kama, huli vizuri au haufanyi mazoezi.
Tabia zako ni kiungo kati ya wewe wa sasa na wewe unayetaka kuwa
Nakubaliana na weweHuwezi kuwa na afya kama, huli vizuri au haufanyi mazoezi.
Tabia zako ni kiungo kati ya wewe wa sasa na wewe unayetaka kuwa
UjumbeUkiweza kushinda woga na tamaa za hovyo hovyo katika kutafuta pesa, kilichobaki ni muda tu.
Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.
Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.