myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiishi kwa mazoea ya wengi.
Usikimbilie kazi bila mwelekeo.
Jifunze zaidi, jipe thamani, jenga akili ya utajiri.
Mafanikio sio ya bahati ni matokeo ya mabadiliko ya ndani.
SawasawaMafanikio yoyote hayaji kwa bahati yanatokana na mazoea sahihi yanayorudiwa kila siku.
β’Jifunze kila siku
β’Wekeza kila siku
β’Kuwa bora kila siku
β’Fanya mazoezi kila siku
β’Jenga tabia sahihi kila siku
KUMBUKA wewe ni kile unachofanya na sio unachotaka.
β οΈβ οΈMafanikio yoyote hayaji kwa bahati yanatokana na mazoea sahihi yanayorudiwa kila siku.
β’Jifunze kila siku
β’Wekeza kila siku
β’Kuwa bora kila siku
β’Fanya mazoezi kila siku
β’Jenga tabia sahihi kila siku
KUMBUKA wewe ni kile unachofanya na sio unachotaka.
Mafanikio yoyote hayaji kwa bahati yanatokana na mazoea sahihi yanayorudiwa kila siku.
β’Jifunze kila siku
β’Wekeza kila siku
β’Kuwa bora kila siku
β’Fanya mazoezi kila siku
β’Jenga tabia sahihi kila siku
KUMBUKA wewe ni kile unachofanya na sio unachotaka.
Mafanikio yoyote hayaji kwa bahati yanatokana na mazoea sahihi yanayorudiwa kila siku.
β’Jifunze kila siku
β’Wekeza kila siku
β’Kuwa bora kila siku
β’Fanya mazoezi kila siku
β’Jenga tabia sahihi kila siku
KUMBUKA wewe ni kile unachofanya na sio unachotaka.
Mafanikio yoyote hayaji kwa bahati yanatokana na mazoea sahihi yanayorudiwa kila siku.
β’Jifunze kila siku
β’Wekeza kila siku
β’Kuwa bora kila siku
β’Fanya mazoezi kila siku
β’Jenga tabia sahihi kila siku
KUMBUKA wewe ni kile unachofanya na sio unachotaka.
Usiishi kwa mazoea ya wengi.
Usikimbilie kazi bila mwelekeo.
Jifunze zaidi, jipe thamani, jenga akili ya utajiri.
Mafanikio sio ya bahati ni matokeo ya mabadiliko ya ndani.
Sio kwamba umeshindwa, umeanguka tu.
Na kuanguka haina maana umeshindwa.
Kuanguka si udhaifu, ni njia ya kujifunza tena.
Jipe ruhusa ya kujijenga upya, unastaili ushindi
Kama MWANAUME kukata TAMAA ni dhambi
Katika biashara, thamani unayotoa ni ya muhimu kuliko bei.
Unaweza kuuza sabuni ya elfu 1, lakini mteja akahisi kama gharama ni kubwa.
Lakini mwingine akauza ya elfu mbili, mteja ahisi amepata zaidi.
Tofauti ipo kwenye thamani unayompa mteja.
βοΈβοΈβοΈKatika biashara, thamani unayotoa ni ya muhimu kuliko bei.
Unaweza kuuza sabuni ya elfu 1, lakini mteja akahisi kama gharama ni kubwa.
Lakini mwingine akauza ya elfu mbili, mteja ahisi amepata zaidi.
Tofauti ipo kwenye thamani unayompa mteja.
Mafanikio ni asilimia 80 ya mtazamo wa akili yako (Mindset) na asilimia 20 skill na resources.
Kama akili yako haipo sawa, vitendo vyako havitakuwa na maana.
Train your mindset kama unavyotrain mwili wako.
Mindset ndio jicho la tatu linaloona opportunity
Sio kwamba umeshindwa, umeanguka tu.
Na kuanguka haina maana umeshindwa.
Kuanguka si udhaifu, ni njia ya kujifunza tena.
Jipe ruhusa ya kujijenga upya, unastaili ushindi
Kama MWANAUME kukata TAMAA ni dhambi
KWELI KABISAWatu wengi hawako tayari kupitia maumivu ya mchakato
Wanataka matokeo ya haraka
Wanataka kula bila kupanda
Mafanikio ni kwa wale wachache wale waliochagua kujiumiza leo ili wasiumizwe na kesho yao
HAKUNA SHORTCUT.
β οΈβ οΈβ οΈMafanikio ni asilimia 80 ya mtazamo wa akili yako (Mindset) na asilimia 20 skill na resources.
Kama akili yako haipo sawa, vitendo vyako havitakuwa na maana.
Train your mindset kama unavyotrain mwili wako.
Mindset ndio jicho la tatu linaloona opportunity
βοΈβοΈMafanikio ni asilimia 80 ya mtazamo wa akili yako (Mindset) na asilimia 20 skill na resources.
Kama akili yako haipo sawa, vitendo vyako havitakuwa na maana.
Train your mindset kama unavyotrain mwili wako.
Mindset ndio jicho la tatu linaloona opportunity
Mafanikio ni asilimia 80 ya mtazamo wa akili yako (Mindset) na asilimia 20 skill na resources.
Kama akili yako haipo sawa, vitendo vyako havitakuwa na maana.
Train your mindset kama unavyotrain mwili wako.
Mindset ndio jicho la tatu linaloona opportunity
πππMafanikio ni asilimia 80 ya mtazamo wa akili yako (Mindset) na asilimia 20 skill na resources.
Kama akili yako haipo sawa, vitendo vyako havitakuwa na maana.
Train your mindset kama unavyotrain mwili wako.
Mindset ndio jicho la tatu linaloona opportunity
Sio kwamba umeshindwa, umeanguka tu.
Na kuanguka haina maana umeshindwa.
Kuanguka si udhaifu, ni njia ya kujifunza tena.
Jipe ruhusa ya kujijenga upya, unastaili ushindi
Kama MWANAUME kukata TAMAA ni dhambi
Kujikubali kunaanzia ndani
Kama UJIAMINI hakuna hatakaekuamini
ila UKIJIKUBALI, dunia nayo itaanza kukubali
Ukishindwa kujijenga ndani ni ngumu sana kuwa IMARA.
Rise your standards.
Nakubaliana na weweWewe ndio asset kubwa kuliko chochote unachotaka
Invest kwa akili yako kabla ya pesa.
Maarifa uliyonao leo ndiyo yataamua kiwango cha kipato chako kesho.
Kumbuka hili MAFANIKIO uliyonayo hayawezi kushinda akili yako.
MAARIFA ni uwekezaji mkubwa zaidi.
Invest in yourself.