Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye maisha watu wengi hukosa kufanikiwa pamoja na uwezo wao mkubwa sababu ya kukosa unyenyekevu na utii.
Hii Quotes imebeba kumbe nzito sanaKuna wakati mafanikio yanahitaji ubaya kidogo—kuwa mkali, kusema hapana, na kuacha kuwa mtu wa kueleweka kila wakati.