Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukiona watu wanaambatana au kusimama pamoja katika jambo fulani haina maana wanakubaliana katika shabaha au lengo moja. Wakati mwingine kulifikia lengo lako hauna budi kumsindikiza mwenzako kulifikia lengo lake. Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!