Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usikimbie changamoto zako, zikabili kwa busara. Kwa sababu ndani ya changamoto kuna siri ya ukuaji wako
 
Wacheki marafiki zako, pokea simu za ndugu zako, zungumza na wazazi wako, wazingatie uwapendao huwezi jua, inaweza kuwa ndio siku, wiki, mwezi au mwaka wa mwisho kuwa nao hapa duniani
 
Ukiwa mdogo ulifundishwa kuheshimu vya maana na kupuuza ujinga ila ukikua mtu mzima ndio maisha yanakutaka kuheshimu hadi upumbavu na kukutaka ukubaliane nao
 
Kuna watu wanaonekana wako mbali, lakini ndio wanaokuombea kila siku. Na wengine wapo karibu, lakini wana kiu ya kuanguka kwako
 
Ukiona watu wanaambatana au kusimama pamoja katika jambo fulani haina maana wanakubaliana katika shabaha au lengo moja. Wakati mwingine kulifikia lengo lako hauna budi kumsindikiza mwenzako kulifikia lengo lake. Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!"
 
Back
Top Bottom