Wacheki marafiki zako, pokea simu za ndugu zako, zungumza na wazazi wako, wazingatie uwapendao huwezi jua, inaweza kuwa ndio siku, wiki, mwezi au mwaka wa mwisho kuwa nao hapa duniani

Ukiwa mdogo ulifundishwa kuheshimu vya maana na kupuuza ujinga ila ukikua mtu mzima ndio maisha yanakutaka kuheshimu hadi upumbavu na kukutaka ukubaliane nao

Ukiona watu wanaambatana au kusimama pamoja katika jambo fulani haina maana wanakubaliana katika shabaha au lengo moja. Wakati mwingine kulifikia lengo lako hauna budi kumsindikiza mwenzako kulifikia lengo lake. Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!"