Ukiona watu wanaambatana au kusimama pamoja katika jambo fulani haina maana wanakubaliana katika shabaha au lengo moja. Wakati mwingine kulifikia lengo lako hauna budi kumsindikiza mwenzako kulifikia lengo lake. Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!

"Watu wengi ni wapweke ingawa kwa muonekano hawaonekani hivyo. Utawatambua kwa mahangaiko yao tu maana upweke una tabia ya kumhangaisha mtu kama mwasho wa upupu.
Watu wengi ni wapweke ingawa kwa muonekano hawaonekani hivyo. Utawatambua kwa mahangaiko yao tu maana upweke una tabia ya kumhangaisha mtu kama mwasho wa upupu.