myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuweka akiba nikujiandaa na dharura, muhimu kujenga safina kwasababu kwenye maisha siku ya mafuriko iko na itakuja tu, iwe kwa njia ya maradhi , msiba, ajali, safari, fursa nakadhalika
Unaweza kujielimisha ili kujiandaa kuzikabili changamoto za maisha au unaweza kusubiri changamoto za maisha zije kukuelimisha -zote ni njia za kujifunza ila zinatofautiana matokeo
Ujumbe muhimuKukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha ya kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati
SawasawaHuwezi kupoteza sifa yako kwa kumpa mtu sifa zake za ukweli,ila unaweza kuharibu sifa yako kwa kutaka kuharibu sifa za ukweli za mwingine
Huwezi kupoteza sifa yako kwa kumpa mtu sifa zake za ukweli,ila unaweza kuharibu sifa yako kwa kutaka kuharibu sifa za ukweli za mwingine
ππAmbaye hakukusaidia kujenga msingi asikutishe na utabiri wake wapi urefu wa paa lako litaishia
β οΈβ οΈPunguza ukaribu na watu unao walalamikia
βοΈβοΈPunguza ukaribu na watu unao walalamikia
Punguza ukaribu na watu unao walalamikia
ππKujitofautisha ni bora kuliko kushindana
NakubalianaUsiache kuyahesabu maovu yako kwa maana ndio kipimo cha uzito wa anguko lako
Kujitofautisha ni bora kuliko kushindana
Ni kweli βοΈNjia ya kwenda kwenye mwanga hutawaliwa na giza
ππKasoro yako ndio uzima wako,hakuna neti nzima isiyo na matundu!!
Jua huanza kuzama kabla ya giza kuingia, mambo magumu yakawa mabaya zaidi, ndoto ikawa jinamizi, biashara iliyokuwa inakubeba ikawa mzigo, nikipindi kinakutaka kuacha kuwa mpambanaji nakuwa mwanajeshi, kipindi cha kubadili vitu na watu katika maisha yako-wakati mgumu fanya magumu
β οΈβ οΈβ οΈJua huanza kuzama kabla ya giza kuingia, mambo magumu yakawa mabaya zaidi, ndoto ikawa jinamizi, biashara iliyokuwa inakubeba ikawa mzigo, nikipindi kinakutaka kuacha kuwa mpambanaji nakuwa mwanajeshi, kipindi cha kubadili vitu na watu katika maisha yako-wakati mgumu fanya magumu
πππSafari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea
βοΈβοΈAdui mwingine wa maendeleo yako ni sifa!!
ππKwenye maisha yako, unahitaji watu waliofanikiwa zaidi yako. Wenye uzoefu zaidi yako. Watu ambo si ligi yako. Watu ambao wana vision kubwa. Kwa sababu unahitaji kuonyeshwa levels mpya ili uweze kufika levels za juu zaidi.
MuAkili hukua kwa kupitia changamoto,sio kila gumu unaomba msaada pambana mwenyewe ukuze akili yako