Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tai mwenye mabawa marefu kuliko wote ni aina ya “White Tailed Eagle” mabawa yake yana jumla ya urefu wa sentimita 218.5, sawa na mita 2.185. Tai aina ya “Phillipine Eagle” ndio wanaoongoza kwa urefu, wao wanafikia sentimita 100.
 
Ni jukumu lako kuyashika mafundisho na kuyafanyia kazi, na ukiyazingatia vema maisha yako yanabadilika kabisa na utakuwa mwanzo mzuri kwako kuelekea mafanikio makubwa. Hebu tujifunze mambo hayo saba kutoka kwa tai.
 
Jambo la kwanza
Tai hupaa juu sana angani wala shomoro na kunguru hawawezi kufika huko. Hakuna ndege yeyote mwenye uwezo wa kupaa juu sana kufikia kimo anachofikia tai, labda awe tai mwenyewe. Mara nyingi huwa tunawaona mwewe wakipita sehemu fulani, shomoro na kunguru huwazomea, lakini tai hataki vurugu hizo.
Tunajifunza nini? Kaa mbali na shomoro na kunguru. Tai huruka na tai wenzake
 
Jambo la pili
Tai wanauwezo wa kuona mbali sana. Wanaweza kuona kitu kilichoko umbali wa kilometa tano. Tai akiona mawindo yake huangalia pale pale na huanza kwenda kukamata mawindo hayo kwa kasi kubwa. Haijalishi kama kuna vipingamizi vyovyote njiani, tai hatabadili kuangalia mawindo yake hadi akamate mawindo.
 
Tunajifunza nini? Unatakiwa kuwa na maono na uyatazame maono yako bila kuangalia pembeni mpaka uyapate au uyatimize hiyo ndiyo siri ya kuelekea mafanikio yako, haijalishi vikwazo unavyokumbana navyo njiani, wewe kaza mwendo bila kurudi nyuma.
 
Jambo la tatu

Tai hali mizoga. Anakula kile tu alichokamata yeye.
Tunajifunza nini? Kuwa makini na kile unacholisha macho yako, masikio yako hasa kuangalia filamu na luninga. Usipende kutumia mizoga (mambo machafu) kwa sababu utaiharibu nafsi yako na maisha yako hayatakwenda kwa kasi kubwa ya mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…