mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAMimi Ghazwat naapa kuwa hivi punde nitalala na kuachia thread hii ikiendelea.. Eeeh Mungu nisaidie!
Well saidAanza kwa ku like page nzima khalafu post. It is the right thing to support comrades in arms
I really appreciate my brother!Sema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:
Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.
Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!
Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yupo wap kichwa kichafuKichwa k
Well saidI really appreciate my brother!
Ni kwa wote kwenye uzi huu!
Wote!
Tumekuwa na ushirikiano kama nyuki!
Tunatengeneza asali yenye utamu!
Na isiyo haribika!
I totally appreciate!
[emoji137][emoji137]habariMy princess
Nyuki walahi151k
Generous person!Niko 7 hrs ago nagonga likes
You are wonderful152k in few mins
Kweli kabisaMkuu humu ni furaha tu,tukitoka huko tunako kwazwa kila siku,tuna kimbilia humu angalau kujiliwaza,ukikutana na mwingine anakuharibia hauna haja ya kulipiza,unaenda nae anavyotaka lakini kwa kumpa analo stahili.Muhimu tunao endana tumekuwa pamoja,jambo la kumshukuru Mungu.
Shimba you are Wonderful!Sema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:
Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.
Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!
Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Salama za kwako[emoji137][emoji137]habari
Hahahahah hatari sana mwezi mmoja 151kHepi besidei uzi maalum[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji312] [emoji313] [emoji313] [emoji322] [emoji323] [emoji341] [emoji344] [emoji345] [emoji343] [emoji342] [emoji327] [emoji328] [emoji329] [emoji351] [emoji350] [emoji346] [emoji347] [emoji348] [emoji348] [emoji349] [emoji341]woyoo woyowoyooo
CongratsNiko 7 hrs ago nagonga likes