myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa ✔️Tukumbuke kila kiliopo kwenye Maisha ya binaadam kina Mwisho
SawasawaUsikubali Waendeshe furaha yako furahi bila kuwategemea
SawasawaUkifahamu kua binaadam tunatabia ya kubadilika Utachukua tahadhari na Wala hutajiachia na hutakuja umizwa kwenye Mahusiano yako
Maisha ni kama mchezo wa chess, kila hatua inahitaji fikra. Chagua kwa makini marafiki, maamuzi, na maneno, maana yote yanaathiri kesho yako.
👍👍👍Maisha ni kama mchezo wa chess, kila hatua inahitaji fikra. Chagua kwa makini marafiki, maamuzi, na maneno, maana yote yanaathiri kesho yako
📌📌📌Maisha ni kama mchezo wa chess, kila hatua inahitaji fikra. Chagua kwa makini marafiki, maamuzi, na maneno, maana yote yanaathiri kesho yako.
✅️✅️✅️Siri ya maisha sio kuwa na kila kitu unachotaka, lakini kupenda kila ulichonacho
✔️✔️✔️Siri ya maisha sio kuwa na kila kitu unachotaka, lakini kupenda kila ulichonacho
Ishi ukisimamia misimamo yako na Yale unayo yaamini kua ni sahihi , usiendeshwe na wakati maana wakati hauna msimamo kila siku unabadilika hivyo ukifuatana nao utaishia kukupoteza na kukuchanganya usahau miiko yako
SawasawaUkiomba baraka ikachelewa Anza kuomba uvumilivu.
👍👍👍Ishi ukisimamia misimamo yako na Yale unayo yaamini kua ni sahihi , usiendeshwe na wakati maana wakati hauna msimamo kila siku unabadilika hivyo ukifuatana nao utaishia kukupoteza na kukuchanganya usahau miiko yako
✅️✅️muhimu kujifunza kwa yaliyopita lakini sio kila matunda ya baadae yatategemea mafunzo yaliyopita... mengine yatakuwa ni matokeo tu ya ubunifu, maono na fikra mpya zisizo na uhusiano na historia
Kweli kabisaStarehe zinafurahisha moyo lakini zikifanywa bila uangalifu huleta maafa , shida ni mbaya lakini ukiikabiri kwa hekima huleta ushindi na kujiamini kunaongezeka
📌📌Starehe zinafurahisha moyo lakini zikifanywa bila uangalifu huleta maafa , shida ni mbaya lakini ukiikabiri kwa hekima huleta ushindi na kujiamini kunaongezeka
MTU mwenye hekima hujifunza kwa makosa ya wengine, lakini mjinga hujifunza kwa makosa yake mwenyewe.
✔️✔️Starehe zinafurahisha moyo lakini zikifanywa bila uangalifu huleta maafa , shida ni mbaya lakini ukiikabiri kwa hekima huleta ushindi na kujiamini kunaongezeka
💯💯Si uhakika ila ni ule uwezekano tu kwamba ndoto inaweza timia ndio hufanya wanaoamini daima wasichoke kuzipambania ndoto zao
Safiiiii sana
JKNElimu sio njia ya kuepuka umasikini, bali ni silaha ya kupambana nao.” - Mwal. Julius Nyerere