Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawasawa
 
Ujumbe muhimu
 
βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ
usikubali kuishi kama kunguru! Unazijua tabia za kunguru? Utataka kuwa kila mtu; utataka upendwe na kila mtu; utataka ueleweke na kila mtu; utataka kudandia na kushindana na maono ya wenzako na mwisho wa siku utajikuta UMEFARIKI badala ya KUFA.
 
βœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ
 
katika maisha tafuta watu wanaoamini katika maono yako, na wakimbie watu wasioamini katika maono yako. Tafuta mke anayeamini katika maono yako maana huyo hatasumbuliwa na leo yako ilivyo maana anaiona kesho itakavyokuwa kubwa na yenye mafanikio.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…