myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa βοΈMaisha ni daftari lenye kurasa mbili ambazo tayari zimeandikwa na Mungu. Ukurasa wa kwanza ni KUZALIWA, na ukurasa wa mwisho ni KIFO. Kurasa za katikati zipo tupu kwa hiyo zijaze kwa TABASAMU na UPENDO.
Maisha ni daftari lenye kurasa mbili ambazo tayari zimeandikwa na Mungu. Ukurasa wa kwanza ni KUZALIWA, na ukurasa wa mwisho ni KIFO. Kurasa za katikati zipo tupu kwa hiyo zijaze kwa TABASAMU na UPENDO.
Furaha Haina Muda, Mawazo Hayana Umri Na Ndoto Ni Za Milele. Kwa hivyo, Hatupaswi Kuacha Kuwaza Ndoto Ambayo Inaweza Kuleta Furaha Katika Maisha Yetu."
Furaha Haina Muda, Mawazo Hayana Umri Na Ndoto Ni Za Milele. Kwa hivyo, Hatupaswi Kuacha Kuwaza Ndoto Ambayo Inaweza Kuleta Furaha Katika Maisha Yetu."
ππFuraha Haina Muda, Mawazo Hayana Umri Na Ndoto Ni Za Milele. Kwa hivyo, Hatupaswi Kuacha Kuwaza Ndoto Ambayo Inaweza Kuleta Furaha Katika Maisha Yetu."
Maisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.
Sawasawa βοΈKumbuka
-Kusali kimya kimya
-Kula vyakula halisi
-Kufanya kazi kwa bidii
-Kulipia gharama za matumizi yako
-Kufunga mara kwa mara
-Kunywa maji yenye chumvi kidogo
-Lala usiku kila unapopata nafasi
NB: Jitokeze kwenye maisha yako.
Uhalisia wa maisha ni kwamba hakuna anayepita bila majaribu. Tofauti ipo katika jinsi mtu anavyokabiliana nayo. Kuna wanaokimbia, kuna wanaokata tamaa, na kuna wanaosimama imara wakiamini kesho itakuwa bora.
Uhalisia wa maisha ni kwamba hakuna anayepita bila majaribu. Tofauti ipo katika jinsi mtu anavyokabiliana nayo. Kuna wanaokimbia, kuna wanaokata tamaa, na kuna wanaosimama imara wakiamini kesho itakuwa bora.
SawasawaUsipoambiwa usiulize
Usipoahilikishwa usishiliki
Usipotafutwa usiwatafute
Jiambie
Jishilikishe
Jitafute tena kwa nguvu kubwa
Jitambue kwa akili kubwa
Jinyoshee kidole kabla hawajakunyoshea vidole
Maisha muhimuMaisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.
Usipoambiwa usiulize
Usipoahilikishwa usishiliki
Usipotafutwa usiwatafute
Jiambie
Jishilikishe
Jitafute tena kwa nguvu kubwa
Jitambue kwa akili kubwa
Jinyoshee kidole kabla hawajakunyoshea vidole
SawasawaMaisha yanatufundisha uvumilivu, unyenyekevu, heshima na nidhamu kwa watu ambao, pengine hata hawajui maana ya hayo yote.
Nakubaliana na weweKumbuka
-Kusali kimya kimya
-Kula vyakula halisi
-Kufanya kazi kwa bidii
-Kulipia gharama za matumizi yako
-Kufunga mara kwa mara
-Kunywa maji yenye chumvi kidogo
-Lala usiku kila unapopata nafasi
NB: Jitokeze kwenye maisha yako.
SawasawaKumbuka
-Kusali kimya kimya
-Kula vyakula halisi
-Kufanya kazi kwa bidii
-Kulipia gharama za matumizi yako
-Kufunga mara kwa mara
-Kunywa maji yenye chumvi kidogo
-Lala usiku kila unapopata nafasi
NB: Jitokeze kwenye maisha yako.
πππMaisha ni mzunguko wa furaha, huzuni, nyakati ngumu na nyakati nzuri. Ikiwa unapitia nyakati ngumu, Usikate tamaa kuwa na imani kwamba nyakati nzuri zinakuja.
SawaMaisha ni mzunguko wa furaha, huzuni, nyakati ngumu na nyakati nzuri. Ikiwa unapitia nyakati ngumu, Usikate tamaa kuwa na imani kwamba nyakati nzuri zinakuja.