Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kusubiri ni jambo moja, kusubiria mahala sahihi ni jambo muhimu zaidi. Huwezi kusubiria meli kiwanja cha ndege. Kuwa na subra haina maana kusimama na kutosogea ulipo. Wakati unasubiri, tumia muda huo kukizengea na kukisogelea kile unachokisubiria. Kusubiri ni kutegesha