Bahati mbaya, mstari kati ya kukosoa na kujeruhi ni mwembamba sana. Jitahidi sana kushauri na kushawishi zaidi na kukosoa inapobidi. Pale unapolazimika kukosoa, jitahidi kukosoa bila kujeruhi. Kwa udhaifu wa binadamu, huenda majeraha ya kukosolewa yakadumu kuliko hoja yenyewe."

Tunakusifu sana ukifa na kukubeza ukiwa hai, hatukusabahi ukiwa mgonjwa ila tunakukeshea ukiwa maiti, tunakubariki ukifa, tunakulaani ukiishi. Ndio hulka ya wanadamu."

Kuna watu wamebebwa na jina la ukoo, kuna wale ambao wao ndio wamelibeba jina la ukoo wao. Wale wa kwanza wana ukoo wa kuuangukia na kuwaokota wakianguka, hawa wa pili wakianguka wanauangusha na ukoo mzima. Ukiwa kundi la pili wajibu mabegani mwako ni mkubwa zaidi. Usijisahau!"

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.