Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukishindwa kuwa tajiri wa mali basi jitahidi kuwa tajiri wa moyo, ukishindwa kumiliki utajiri wa mali,basi jitahidi uwe tajiri wa watu (konekshen), ukishindwa kusaidia watu kwa pesa,saidia watu kwa ujuzi na muda wako. Usishindwe mechi zote. Shinda walau moja."