Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha ni kama chumba cha mtihani cha Chuo Kikuu, tunaweza kuwa chumba kimoja cha mtihani lakini kila mmoja akawa anafanya mtihani wake. Kabla hujaingia tamaa ya kuigilizia, hakikisha wewe na mwenzako mnafanya mtihani mmoja.