Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu wamebebwa na jina la ukoo, kuna wale ambao wao ndio wamelibeba jina la ukoo wao. Wale wa kwanza wana ukoo wa kuuangukia na kuwaokota wakianguka, hawa wa pili wakianguka wanauangusha na ukoo mzima. Ukiwa kundi la pili wajibu mabegani mwako ni mkubwa zaidi. Usijisahau!"
 
Hata tungefanana vipi, hata tungelingana vipi, hata tungezidiana vipi, kila mmoja ana upekee wake unaomtofautisha na wengine. Ujue upekee wako, ukubali, ustawishe na uruhusu uchanue. Upekee wako ndio turufu yako. Hapajakuwapo wewe kabla na hapatakaa pawepo wewe mwingine baada!
 
Mzunguko wa rizki ni kama mto, matawi na mikondo yake. Ukiona mgumu basi ujue aidha mto umebadili uelekeo au ulitegesha kwenye mto wa msimu
 
Ukishindwa kuwa tajiri wa mali basi jitahidi kuwa tajiri wa moyo, ukishindwa kumiliki utajiri wa mali,basi jitahidi uwe tajiri wa watu (konekshen), ukishindwa kusaidia watu kwa pesa,saidia watu kwa ujuzi na muda wako. Usishindwe mechi zote. Shinda walau moja."
 
Back
Top Bottom