myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππππMwanasheria machachari ni yule anayeijua sheria vizuri lakini wakili mwenye busara ni yule anaemjua vema mtoa hukumu
β οΈβ οΈMwanasheria machachari ni yule anayeijua sheria vizuri lakini wakili mwenye busara ni yule anaemjua vema mtoa hukumu
βοΈβοΈβοΈUkitaka Kutambua Thamani Ya Ulichonacho Angalia Idadi Ya Wanaokitafuta.
SawaKila changamoto ni fursa ya kukua, na kila siku mpya ni nafasi ya kuandika ukurasa bora zaidi wa maisha yako.
πππKwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.β - Ruge Mutahaba