Kifo ni hatua ya mwisho ya matumizi ya muda kwa mwanadamu na haijulikani ni muda gani kitatokea kwa mtu, hivyo kuwa mtu mwema, ishi na watu vizuri, samehe waliokukosea na usiishi kwa kudhulumu watu, kwasababu ukishakufa hautakuwa na muda tena wa kurekebisha uliyoyafanya