Katika Maisha Kila Mtu Unayekutana Naye Kuna Kusudi Ziwa Watu Wengine Watakujaribu, Wengine Watakutumia, Wengine Watakuonyesha Thamani Yako. Lakini Kila Mtu Atakufundisha Kitu Kuhusu Wewe. Kwa hii usimdharau mtu yeyote maana kila mtu hufaa kwa nyakati yake