Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20251116-171423_Web Browser.png
 
Kwa tafsiri nyingine starehe na anasa za weekend ni sawa tu na kujidanganya kua maisha ni mepesi
 
Ushahidi wa dhambi zenu upo katika vitendo vyenu, na hili hali hapana awezaye kukuoneni isipokuwa Mwenyezi Mungu, Usimuhukumu mtu kwa makosa Unayo yafanya sirini.
 
Kivuli kikiwa upande wako maana yake jua linapiga upande wa mwenzako, hivyo jua likikuchoma upande wako kuwa muelewa kwamba upande wa kivuli ni zamu ya mwenzako
 
Sikuhizi vijana wanavaa vizuri ili tu kuficha huzuni zao maana umasikini wao tayari upo wazi wazi
 
Tunda ambalo mlaji hajawai kula atakapoliona tu hulimezea mate, lakini pindi atakapolionja tunda hilo hamu yote humuisha.Usiwe tunda ambalo walaji wengi wameshalionja wakasimulia ladha yake
 
Kuna aina tatu za marafiki: Wapo wanaokusema vibaya ukiwa haupo, wapo wanaokaa kimya wengine wanapokuchafua, na wapo wanaosimama kulinda heshima yako hata bila uwepo wako. Hao wa mwisho ndio marafiki wa kweli wa kuenzi.
 
Back
Top Bottom