Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi unajua kuwa Dereva wa truck hutumia akili, makadirio, na subira zaidi kuliko dereva wa kawaida. Kosa dogo kwake ni hasara kubwa.
 
Mbuyu ni mmea asili ambao unaweza kuishi hadi miaka 2500.
Na mbegu za mmea huu hutengeneza mafuta yanayojulikana kuwa na mafuta ya 'omega' ambayo hutusaidia kuona na kutukinga na magonjwa ya moyo na presha
 
Itafika wakati, pesa haina thamani, mafanikio hayana thamani, na vyeo havina thamani, na upendo utabaki kuwa wa thamani kila wakati. Fanya uchaguzi mzuri kwa ajili ya siku kama hii.
 
Machozi ya mwenye haki yamebeba laana,na maumivu unayoyasababisha leo hayatakupa furaha ya kudumu bali yatakuwa somo utakaloishi nalo milele .
 
Mkumbushe mwanao kuwa :

Kiburi,dharau,jeuri,fedhuli,majivuno,majigambo, ubabe au kujiona umetimia kila idara ni miongoni mwa vitu vilivyochangia kwenye anguko la watu wengi.
 
Mkumbushe mwanao kuwa uongo unaweza tu kuchelewesha madhara lakini kamwe hauwezi kuzuia madhara.
 
Mkumbushe mwanao kuwa uhai ni zawadi yenye thamani sana, hana budi kuheshimu uhai wake na uhai wa wengine,kujidhuru au kumdhuru mwingine ni kutenda kosa lisilosameheka.
 
Wanafiki hawakwepeki. Wamekuwapo na watakuwapo na wametajwa kwenye vitabu vya dini. Ukibahatika kuwajua, jikaushe. Mnafiki unayemjua anaweza kukusaidia kumjua mnafiki wako usiyemjua. Utafaidika zaidi ukijifunza kuishi kinafiki na wanafiki."
 
Wanafiki hawakwepeki. Wamekuwapo na watakuwapo na wametajwa kwenye vitabu vya dini. Ukibahatika kuwajua, jikaushe. Mnafiki unayemjua anaweza kukusaidia kumjua mnafiki wako usiyemjua. Utafaidika zaidi ukijifunza kuishi kinafiki na wanafiki."
 
Focus ni uwezo wa kutuliza akili kuepuka mambo yasiyokuwa na maana, na kuelekeza nguvu zako kwenye malengo ya thamani.
 
Mkumbushe mwanao asiiishi kwa kukariri sisi tumeona mengi mabaya kwa watu tulioambiwa ni wema na tumeona mengi mazuri kwa watu tulioambiwa ni wabaya.
 
Kulala ni kawaida lakini kuamka ni kwa neema tu Mkumbushe mwanao keshoo ni fumbo yenye afyaa ndio iliyonjemaa
 
Mkumbushe mwanao kuwa msaada wa aliyemdharau unaweza kufika haraka kuliko hata wa yule aliyemtarajia.
 
Zamani uongo ulikuwa ni sumu na ukweli ulimuweka mtu huru lakini kwa nyakati za sasa ukweli umegeuka kuwa sumu na uongo ndio unamuweka mtu huru.
 
Screenshot_20251117-185232_Web Browser.png
 
Back
Top Bottom