Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 16, 2025 #1,532,301 Mkumbushe mwanao ya kwamba........... .... Maisha ni Mchakato, aende nayo kwa hatua
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 16, 2025 #1,532,302 Kutatua tatizo kabla ya kurekebisha sababu ya tatizo nalo ni tatizo kubwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,303 Ukweli mchungu ni kwamba,,, Jipambanie maana Watu watatoka mbali kuja kukuzika ila hawatotoka mbali kuja kukupa chakula ili usife njaa.
Ukweli mchungu ni kwamba,,, Jipambanie maana Watu watatoka mbali kuja kukuzika ila hawatotoka mbali kuja kukupa chakula ili usife njaa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,304 Mkumbushe mwanao kuwa kukaa kwenye meza wanayojadili mambo ya watu kuliko maisha yao binafsi hakutampa anachokitaka bali kutampotezea muda,dira na mwelekeo wake wa maisha.
Mkumbushe mwanao kuwa kukaa kwenye meza wanayojadili mambo ya watu kuliko maisha yao binafsi hakutampa anachokitaka bali kutampotezea muda,dira na mwelekeo wake wa maisha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,305 Mkumbushe Mwanao ya kwamba..... Wakati mwingine ni bora MENGINE asitake kuyafahamu ili aendelee tu kubaki na amani katika MOYO wake.
Mkumbushe Mwanao ya kwamba..... Wakati mwingine ni bora MENGINE asitake kuyafahamu ili aendelee tu kubaki na amani katika MOYO wake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,306 Mkumbushe mwanao ya kwamba...... Kamwe asiruhusu mtu yoyote ambae hajawai kuvaa viatu vyake amfundishe namna ya kufunga kamba.
Mkumbushe mwanao ya kwamba...... Kamwe asiruhusu mtu yoyote ambae hajawai kuvaa viatu vyake amfundishe namna ya kufunga kamba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,307 Haijalishi una machungu au furaha kiasi gani, Mungu anatosha kuwa Shahidi.Usimsahau Muumbaji.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,308 Dunia haitaacha kusonga kwa sababu tumekata tamaa. Wajibu wetu ni kutembea kwa imani na subira, ikiwa na uzito wake kwa jasho na machozi.
Dunia haitaacha kusonga kwa sababu tumekata tamaa. Wajibu wetu ni kutembea kwa imani na subira, ikiwa na uzito wake kwa jasho na machozi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,309 MUDA ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu, ndio maana hatupaswi kuishi tukifungwa na makosa ya jana, bali tu tengeneze leo ili kesho iwe bora.
MUDA ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu, ndio maana hatupaswi kuishi tukifungwa na makosa ya jana, bali tu tengeneze leo ili kesho iwe bora.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,310 Kila changamoto huja na funzo ndani yake
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,311 Kufikiri kila Mtu ni mbaya nalo ni tatizo, Kama ambavyo kufikiri kila mtu ni Mwema.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,312 Kupitia maumivu tunajifunza mengi, kupitia machozi tunapunguza uchungu na kupitia changamoto tunapata hekima.
Kupitia maumivu tunajifunza mengi, kupitia machozi tunapunguza uchungu na kupitia changamoto tunapata hekima.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,313 Usipime kina cha maji kwa mguu mmoja, Kama hujui jambo, nyamaza, uliza na ujifunze, Usiharakishe kusema bila maarifa, Utaanguka pasipo msaada
Usipime kina cha maji kwa mguu mmoja, Kama hujui jambo, nyamaza, uliza na ujifunze, Usiharakishe kusema bila maarifa, Utaanguka pasipo msaada
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,314 Usilaumu mtu yeyote kwenye Maisha, maana watu wazuri wanakupa furaha na watu wabaya pia wanakupa somo, watu Bora na wema wanakupa kumbukumbu nzuri
Usilaumu mtu yeyote kwenye Maisha, maana watu wazuri wanakupa furaha na watu wabaya pia wanakupa somo, watu Bora na wema wanakupa kumbukumbu nzuri
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,315 Kama unaguswa na maumivu ya watu wengine basi chukua hatua, sema hata kidogo, ili kuwakilisha sauti yao wale walioteswa.
Kama unaguswa na maumivu ya watu wengine basi chukua hatua, sema hata kidogo, ili kuwakilisha sauti yao wale walioteswa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,316 Haijalishi giza linakuwa zito kiasi gani, asubuhi huangaza tu. Ndivyo ilivyo pia kwenye maisha yetu, changamoto, huzuni na majaribu havidumu daima.
Haijalishi giza linakuwa zito kiasi gani, asubuhi huangaza tu. Ndivyo ilivyo pia kwenye maisha yetu, changamoto, huzuni na majaribu havidumu daima.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,317 Wanadamu wote tunaongezeka urefu sentimita moja kila asubuhi na kurudi katika hali ya kawaida kadri muda unavyozidi kusogea.
Wanadamu wote tunaongezeka urefu sentimita moja kila asubuhi na kurudi katika hali ya kawaida kadri muda unavyozidi kusogea.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,318 Si kila anae shangilia huko batani ni anafuraha hapana wengine huo ndio muda wao wa kupiga yowe na kujisahaulisha machungu yao
Si kila anae shangilia huko batani ni anafuraha hapana wengine huo ndio muda wao wa kupiga yowe na kujisahaulisha machungu yao
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,319 Mungu hatatuongoza mahali asipoweza kutuweka. Neema yake daima inatosha kwa ajili yetu katika hali yoyote na kila hali ya maisha yetu.
Mungu hatatuongoza mahali asipoweza kutuweka. Neema yake daima inatosha kwa ajili yetu katika hali yoyote na kila hali ya maisha yetu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 17, 2025 #1,532,320 Hata kama umekasirika , fikiri kabla ya kuzungumza." Maneno unayosema yanaweza kusamehewa ila hayawezi kusahaulika.
Hata kama umekasirika , fikiri kabla ya kuzungumza." Maneno unayosema yanaweza kusamehewa ila hayawezi kusahaulika.