Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
katika maisha kuna utofauti mkubwa wa kuangalia na kuona. Watu wengi wanayangalia mambo huku wakidhani wanayaona mambo. Wenzako wakiyaona mambo jifunze kuwaheshimu kwani wameona vitu ambavyo wewe hujaviona.