Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila siku mpya ni ukurasa mtupu. Iandike kwa ujasiri, bidii, na maombi. Aluta continua.
 
Hakuna tamaa, hata hatua ndogo ni ushindi. Endelea kupambana, kwa maana kila jasho lako lina andika historia ya mafanikio yako yajayo.
 
Kila huzuni ina mwisho, na kila giza lina nafasi ya mwanga. Endelea kusimama, maana subira ni daraja la mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…