Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mtu unaye changamana nae ana mchango mkubwa katika kesho yako.
Tegemea awe fursa kwako ama funzo kwako.
 
Shahada yako ni kipande cha karatasi, elimu yako ina jidhihirisha kwenye tabia yako ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…