Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,501 Ni dhahiri kuwa unaweza kuzitumia pesa hadi mwisho wa maisha yako bila hata kujua mambo fulani yanayozihusu.
Ni dhahiri kuwa unaweza kuzitumia pesa hadi mwisho wa maisha yako bila hata kujua mambo fulani yanayozihusu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,502 Fuatilia makala hii nikufahamishe mambo 6 usiyoyafahamu kuhusu pesa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,503 Pesa ya noti siyo karatasi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,504 Watu wengi wanafikiri kuwa pesa ya noti imetengenezwa kwa karatasi lakini si kweli. Malighafi zilizotengenezea pesa ya noti, mojawapo ni pamba.
Watu wengi wanafikiri kuwa pesa ya noti imetengenezwa kwa karatasi lakini si kweli. Malighafi zilizotengenezea pesa ya noti, mojawapo ni pamba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,505 Imetengenezwa hivi ili iwe imara zaidi na yenye kukabiliana na mambo kama vile vimiminika na uchafu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,506 Wazo la ATM liliibuka bafuni
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,507 Mgunduzi John Shepherd-Barron alipata wazo la kuweka ATM bafuni manamo miaka ya 1960 akiwa bafuni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,508 Pesa zina virusi vya mafua na cocaine
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,509 Utafiti umebaini kuwa kutokana na pesa kupita kwenye mikono na sehemu mbalimbali, nyingi zina virusi vya mafua na chembechembe za madawa ya kulevya (cocaine).
Utafiti umebaini kuwa kutokana na pesa kupita kwenye mikono na sehemu mbalimbali, nyingi zina virusi vya mafua na chembechembe za madawa ya kulevya (cocaine).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,510 Wote walio hai sasa walizikuta pesa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,511 Hii ina maana gani? Inaaminika kuwa pesa zilianza kutumika mnamo miaka 5,000 K.B.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,512 Ni dhahiri kuwa watu wote walio hai duniani leo walizikuta pesa na kuna uwezekano wakaondoka kabla ya kuja kwa mbadala wa pesa.
Ni dhahiri kuwa watu wote walio hai duniani leo walizikuta pesa na kuna uwezekano wakaondoka kabla ya kuja kwa mbadala wa pesa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,513 Asili ya pesa za noti ni China
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,514 Inaaminika kuwa pesa za noti zilibuniwa huko China. Mnamo mwaka wa 910 pesa hizi zilimshangaza Marco Polo alipotembelea China katika safari zake.
Inaaminika kuwa pesa za noti zilibuniwa huko China. Mnamo mwaka wa 910 pesa hizi zilimshangaza Marco Polo alipotembelea China katika safari zake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,515 Kutengeneza pesa ni taaluma ngumu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,516 Watu wengi wanafahamu kuwa madaktari na wanasheria wanahitaji miaka mingi (5 – 6) kufuzu taaluma zao.
Watu wengi wanafahamu kuwa madaktari na wanasheria wanahitaji miaka mingi (5 – 6) kufuzu taaluma zao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,517 Lakini taaluma ya kutengeneza pesa “engraiving” inahitaji miaka takriban 15 ili kufuzu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 9, 2025 #1,533,518 Hii pia ndiyo sababu ni vigumu kutengeneza pesa bandia ambazo hazitobainika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,519 Ficha Huzuni Yako, Hakuna Anayejali. Dunia Haijali Hisia Zako Inajali Matokeo Yako._
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,520 Ahadi si tu ni deni bali kutimiza ahadi ni heshima "