Kila hatua ya kifedha unayoipiga ina thamani zaidi ukienda kimya. Ukiweka kila kitu wazi, unatoa urahisi kwa wengine wa kuharibu safari yako. Usikimbilie kuonyesha kila mafanikio.
Tulishajaribu kukata tamaa ila tukikumbuka maisha tuliyopitia na kuna watu wanatutegemea tunainuka tena kuendeleza mapambano ili kuwatunza na kuzuia wengine wasiishi kama sisi