Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda Mwingine Jitahidi Kutomuliza Mtu Jambo Ambalo Aliokuficha, Kumbuka Hekima Siku Zote Ni Kumuonesha Kuwa Hujui Baada Ya Wewe Kujua Alichokifanya..
 
Katika Sala Zako Muombe Sana MUNGU Unapoyaona Mafanikio Ya Wengine Yakupe Moyo Wa Kuzidi Kupambana Yasikujaze Chuki Na Tamaa
 
Mungu hutupa watu sahihi wa kutufundisha na kutuonesha njia kila hatua ya maisha tunayopita.
 
kabla hujatumia pesa kutengeneza muonekano wako anza kutengeneza tabia yako hilo wala halihitaji pesa
 
Muda ukifika badi utapata kile ulichostahili usiwaze, Usiumie wala kulalamika Muamini Mungu tu ndiye anayetoa Kwa Kila Mtu.
 
Kila hatua ya kifedha unayoipiga ina thamani zaidi ukienda kimya. Ukiweka kila kitu wazi, unatoa urahisi kwa wengine wa kuharibu safari yako. Usikimbilie kuonyesha kila mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…