Je, unajua?
Tembo wana uwezo wa kusikia mvua ikinyesha kutoka umbali wa zaidi ya maili 150 (zaidi ya KM 240)!
Hii ni kwa sababu ya uwezo wao wa kipekee wa kusikia sauti za chini kabisa zinazotolewa na dhoruba, zinazopita ardhini.
Do not go through life expecting people to be perfect. Allowing for others and yourself to be able to fudge things sometimes, eases your mental attitude; making it easier to accept everyone.