Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,021 Huwezi kuwa na furaha kama unakwepa matatizo yako au unajifanya hayapo. Furaha ya kweli inakuja pale unapokabiliana na changamoto na kuzitatua.
Huwezi kuwa na furaha kama unakwepa matatizo yako au unajifanya hayapo. Furaha ya kweli inakuja pale unapokabiliana na changamoto na kuzitatua.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 12, 2026 #1,534,022 Shimba ya Buyenze
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 12, 2026 #1,534,023 antimatter
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,024 1.Hakuna anayejua kila kitu. 2.Wote tunajifunza. 3.Kidogo kidogo. 4.Hatua kwa hatua. 5.Endelea kujifunza usiogope .
1.Hakuna anayejua kila kitu. 2.Wote tunajifunza. 3.Kidogo kidogo. 4.Hatua kwa hatua. 5.Endelea kujifunza usiogope .
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,025 Kukosa usingizi kwa ajili ya ndoto zako ni bora kuliko kuziota tu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,026 1.Kuanzia sifuri kunaogopesha. 2.Lakini kuna uhuru. 3.Uhuru wa kujijenga. 4.Kwa njia yako. 5.Anza tena usiogope.
1.Kuanzia sifuri kunaogopesha. 2.Lakini kuna uhuru. 3.Uhuru wa kujijenga. 4.Kwa njia yako. 5.Anza tena usiogope.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,027 Sio wajibu wako kuthibitisha thamani yako kwa watu wasioiona; waache wakudharau.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,028 1.Maisha ni mchakato. 2.Mchakato unaumiza. 3.Mchakato unajenga. 4.Mchakato unaandaa. 5.Endelea kupambana usiache.
1.Maisha ni mchakato. 2.Mchakato unaumiza. 3.Mchakato unajenga. 4.Mchakato unaandaa. 5.Endelea kupambana usiache.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,029 1.Kuna wakati wa kukata tamaa. 2.Kuna wakati wa kuendelea. 3.Wakati huo ni sasa. 4.Simama. 5.Endelea.
1.Kuna wakati wa kukata tamaa. 2.Kuna wakati wa kuendelea. 3.Wakati huo ni sasa. 4.Simama. 5.Endelea.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,030 Huwezi kumsaidia kila mtu, ila kila mtu anaweza kumsaidia mtu. Kadiri unavyokuwa mkubwa utagundua kuwa umepewa mikono miwili. Mmoja wa kusaidia wengine na mmoja wa kujisaidia Mwenyewe.
Huwezi kumsaidia kila mtu, ila kila mtu anaweza kumsaidia mtu. Kadiri unavyokuwa mkubwa utagundua kuwa umepewa mikono miwili. Mmoja wa kusaidia wengine na mmoja wa kujisaidia Mwenyewe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,031 Thamani halisi haihusu pesa, ni jinsi unavyojithamini
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,032 Usiuze bidhaa au huduma , hakikisha unauza suluhisho lenye kutatua matatizo ya watu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,033 Unafika hatua unaacha kuelezea watu shida zako. Unabaki kimya kwa sababu hata maneno hayabadilishi kitu .
Unafika hatua unaacha kuelezea watu shida zako. Unabaki kimya kwa sababu hata maneno hayabadilishi kitu .
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,034 Hasira hupoteza maarifa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,035 Ukilemewa pumzika usiendelee kujiumiza
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,036 Inahitajika uwe na pesa ili uweze kutengeneza pesa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,037 Mambo 5 Ya Kufanya Unapokutana na Changamoto: 1. Tulia, usiwe na haraka. 2. Tambua chanzo cha tatizo. 3. Weka mpango wa kulitatua. 4. Shirikisha watu unaowaamini. 5. Weka matumaini kwa Mungu.
Mambo 5 Ya Kufanya Unapokutana na Changamoto: 1. Tulia, usiwe na haraka. 2. Tambua chanzo cha tatizo. 3. Weka mpango wa kulitatua. 4. Shirikisha watu unaowaamini. 5. Weka matumaini kwa Mungu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,038 Tafuta Kila Kitu Unachokitaka Maishani Isipokuwa Upendo Na Kifo. Hivyo Vitakutafuta Vyenyewe Wakati Ukifika.
Tafuta Kila Kitu Unachokitaka Maishani Isipokuwa Upendo Na Kifo. Hivyo Vitakutafuta Vyenyewe Wakati Ukifika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,039 Je, wajua kuna zaidi ya aina 10,000 za nyanya? Na kila mwaka zaidi ya tani milioni 60 huzalishwa duniani kote na kufanya nyanya kuwa tunda maarufu sana duniani ikifuatiwa na ndizi?
Je, wajua kuna zaidi ya aina 10,000 za nyanya? Na kila mwaka zaidi ya tani milioni 60 huzalishwa duniani kote na kufanya nyanya kuwa tunda maarufu sana duniani ikifuatiwa na ndizi?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 12, 2026 #1,534,040 Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. ‘Isaya 54:14 SUV’
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. ‘Isaya 54:14 SUV’