Kibiblia Akili na Hekima vinaenda pamoja.
Akili inakupa kuelewa cha kufanya
—Luka 24:45
Hekima inakuwezesha kujua namna ya kufanya kile ulichoelewa unachotakiwa Kufanya.
—kutoka 31:1-6
Sisi binadamu hatukupewa uwezo wa kutaka vitu,vikawa hapo hapo. Baina ya kutaka kitu na kupatikana kwa kitu hicho pana MUDA.Ongeza juhudi Kuwa na subra
Musa alipopanda mlimani kuongea na Mungu, Mungu alikaa kimya Siku sita bila kusema chochote.
Alipoanza kunena naye siku ya 7 aliongea naye mfulullizo hadi siku ya 40