Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20260213-WA0012.jpg
 
Life Is Not Fair .Kumbuka Kuwa Watu Hawalipwi wanachostahili wanalipwa wanachokipambania Hata kama Ni Chini ya Kiwango..

Shule Zinazlisha Watii wa Kanuni.NDIO Maana Baada ya Kuhitimu kila Mmoja Anapambana Na Vita Ambayo Alikuwa Hajajiandaa Nayo.
 
Watu Hawawezi kukwambia kua walishikwa mkono ili kufika walipo , watakuhamasisha tu ujitume kwa bidii ili kufika walipo.
 
Kuna siku utaangalia nyuma na kusema, Nilipitia mengi, lakini sikukata tamaa. Siku hiyo itakuja. Endelea kuamini, endelea kusimama, endelea kuwa na moyo wa subira.

Dunia inaweza kukunyima mengi, lakini haiwezi
kukuondolea ndoto zako bila ridhaa yako na haiwezi kukunyima vyote•
 
Back
Top Bottom