Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna siku utakufa tena wakati una mipango mizuri sana ambayo utaiacha bila kuikamilisha halafu jambo la uhakika ni kwamba Dunia itaendelea bila uwepo wako na mambo yatakuwa poa tu kwa waliobaki...... Usiache kusali
 
Usiruhusu Hofu iongoze Hatua zako. Chagua Iman Badala ya wasiwasi, na kuamini badala ya shaka. Mungu Atakutangulia; Anapigana vita vyako na kufungua Milango Ambayo Hata hukujua kama ipo.
 
Back
Top Bottom