Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,441 Ukiumizwa ni ngumu kusahau, japo unaweza kusamehe ila kumbukumbu ni ngumu kufutika
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,442 Hakuna mtu anabadilika Watu wanabadilishwa na walio waamini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,443 Ikiwa wanakutemea mate nyuma ya mgongo Inamaanisha uko mbele yao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,444 Hakuna ambaye haweki juhudi, Mwisho wa siku tunabaki kujichekesha tu mbele za watu, Ila kihualisia Dimba ni gumu sana.
Hakuna ambaye haweki juhudi, Mwisho wa siku tunabaki kujichekesha tu mbele za watu, Ila kihualisia Dimba ni gumu sana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,445 Usiwaamini watu ambao hisia zao hubadilika Kulingana na Wakati.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,446 Kwenye shida zao tupo pamoja ila kwenye raha zao Wako na watu wao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,447 Hii Dunia ya sasa kuishi na watu vizuri Ndio Vibaya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,448 Kila baba ni simba hata akiwa amejeruhiwa, Huwa anapigana kuitafuta Furaha ya Familia Yake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,449 Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na Usiaminike.
Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na Usiaminike.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,450 Watu wanao subiria majibu ya haraka, Subira inakua kama Ukatili kwao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,451 Kwenye harakati za kutafuta mkate wako, Usikanyage Mikate Yetu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,452 Ishi kama hauna watu, maana unao hisi ni watu wako Na wao wana watu wao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,453 Kabla hujafikiria kukata tamaa kwenye haya maisha, Hebu angalia nywele zinazoota kwenye makwapa Licha ya mazingira magumu, bado zinaendelea kukua.
Kabla hujafikiria kukata tamaa kwenye haya maisha, Hebu angalia nywele zinazoota kwenye makwapa Licha ya mazingira magumu, bado zinaendelea kukua.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,454 Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu pindi pale Njaa inapoamia Kichwani. Hii ni hatari zaidi ya Hatari yenyewe.
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu pindi pale Njaa inapoamia Kichwani. Hii ni hatari zaidi ya Hatari yenyewe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,455 Uenda kila kitu kikawa sawa ila kwetu haiwezi kuwa sawa tena kama zamani. Anaye kula ndizi ni rahisi sana kusahau Kuliko yule mtupiwa Ganda.
Uenda kila kitu kikawa sawa ila kwetu haiwezi kuwa sawa tena kama zamani. Anaye kula ndizi ni rahisi sana kusahau Kuliko yule mtupiwa Ganda.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,456 Kuna mtu tokea Dunia ianze kumfunza Hajawahi kupumzika, Ni Kila siku Anapigwa Matukio Mapya Mapya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,457 Zitakuepo siku ngumu kwenye maisha yako ila hazitadumu. Usiache kusali.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,458 Ukishindwa kuwa taa kwa wengine, Basi usiwe upepo wa kuzima taa zao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 21, 2026 #1,534,459 Ukiona hela huna na stress huna, Tambua pia hata Akili Hauna.
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Feb 22, 2026 #1,534,460 Uzi huu ni kwa ajili ya kufurahsha na kupoteza muda,coment chochote unachotaka kuandika!