"Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
Naweza kusema changamoto za maisha ndio maana halisi ya maisha.
Maana nina uhakika hakuna ambaye hapitii changamoto katika vipengele hivi muhimu katika maisha yani mahusiano, ndoa, utafutaji pesa, afya n.k.
Puuzia mambo yasiokuwa ya maana,dharau mambo yanayo hatarisha amani ya moyo wako,jibane na kuwa mbahili kwenye vitu visivyo vya lazima,hii ni Moja ya kanuni za kuelekea kufanikiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.