Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,401 Wengine wanaacha Ndoto zao kwa sababu Ya Maneno ya wengine. Wewe Jenga Ndoto zako kwa Maneno Yako, Hata kama Dunia aikuamini.
Wengine wanaacha Ndoto zao kwa sababu Ya Maneno ya wengine. Wewe Jenga Ndoto zako kwa Maneno Yako, Hata kama Dunia aikuamini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,402 Wengine wanaacha Ndoto zao kwa sababu Ya Maneno ya wengine. Wewe Jenga Ndoto zako kwa Maneno Yako, Hata kama Dunia aikuamini.
Wengine wanaacha Ndoto zao kwa sababu Ya Maneno ya wengine. Wewe Jenga Ndoto zako kwa Maneno Yako, Hata kama Dunia aikuamini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,403 Kifo Kinakukumbusha Mengi sana..ila Baada Ya Muda Kidogo Tu Unasahau Kila Kitu ..Usisahau Kua MUNGU Yupo
Kifo Kinakukumbusha Mengi sana..ila Baada Ya Muda Kidogo Tu Unasahau Kila Kitu ..Usisahau Kua MUNGU Yupo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,404 Kifo Kinakukumbusha Mengi sana..ila Baada Ya Muda Kidogo Tu Unasahau Kila Kitu ..Usisahau Kua MUNGU Yupo
Kifo Kinakukumbusha Mengi sana..ila Baada Ya Muda Kidogo Tu Unasahau Kila Kitu ..Usisahau Kua MUNGU Yupo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,405 Ukiona Mtu anazama, Huo si wakati wa kumfundisha jinsi ya kuogelea, Anacho Hitaji Ni kuokolewa Tu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,406 Ukituliza akili Yako vizuri utajua una Mengi Ya kumshukuru Mungu kuliko Yale Unayoyatamani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,407 Tambua Kuwa Ata Wale Unaowaona Wana Maisha Mazuri Nao Pia Wanapitia Magumu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,408 Kama Ukiacha Kuwaambia Marafiki Zako Kila Kitu Kuhusu Wewe, Maadui Zako Hawatojua Kila Kitu Kuhusu Wewe
Kama Ukiacha Kuwaambia Marafiki Zako Kila Kitu Kuhusu Wewe, Maadui Zako Hawatojua Kila Kitu Kuhusu Wewe
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,409 Omba sana Mungu Akupe wana Ambao kwenye Meza Ya Michongo Watataja jina Lako, Hata kama Wewe Haupo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,410 Kwenye Maisha kila Mtu Anaonyesha Furaha yake kuliko Matatizo yake Ukimuangalia Mtu kwa Muonekano wa Nje Utafeli sana
Kwenye Maisha kila Mtu Anaonyesha Furaha yake kuliko Matatizo yake Ukimuangalia Mtu kwa Muonekano wa Nje Utafeli sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,411 Sijui unapitia changamoto gani, Nahisi Tu kukuambia kwamba Usimuache MUNGU, Hayo Yote Yatapita Tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,412 Tambua Kuwa ukihitaji Kuwa Mshindi kwa DUNIA Ya Sasa Jifunze Kuinuka kila Baada Ya Kuanguka.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,413 Mwaka Huu Achana Na Mambo Ya Kuwafurahisha Watu Na Kuhonga ,Tengeneza Kwanza Mitaro Ya Kuingiza Pesa.
Mwaka Huu Achana Na Mambo Ya Kuwafurahisha Watu Na Kuhonga ,Tengeneza Kwanza Mitaro Ya Kuingiza Pesa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,414 Kazini Majungu na kejeli havikosekani , hivyo jifunze kuishi navyo kwa akili ili kulinda ugali wako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,415 Ni Neema sana Ukiwa na Marafiki Ambao Wanakusogezea Mchongo Bila Kuionea Tamaa pesa Utakayopata.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,416 Jifunze kuziishi siasa za ofisini , sababu Hizo ndio hufanya MTU anapandishwa cheo hata Kama ana uwezo wa kawaida
Jifunze kuziishi siasa za ofisini , sababu Hizo ndio hufanya MTU anapandishwa cheo hata Kama ana uwezo wa kawaida
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,417 HOFU inaua ndoto za watu wengi,Kuliko hata KUFELI yenyewe.Ndoto nyingi zinakufa vichwani na mioyoni mwa watu kwa sababu ya hofu.
HOFU inaua ndoto za watu wengi,Kuliko hata KUFELI yenyewe.Ndoto nyingi zinakufa vichwani na mioyoni mwa watu kwa sababu ya hofu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,418 Ukiona watoto wa Ndugu zako Hawakuheshimu Tambua Ndugu zako Huwa wanakusema vibaya wakiwa na Watoto wao.
Ukiona watoto wa Ndugu zako Hawakuheshimu Tambua Ndugu zako Huwa wanakusema vibaya wakiwa na Watoto wao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,419 Kubali Kupoteza Kila Kitu Katika Maisha Yako Lakini Usikubali Kupoteza Imani Na Hofu Ya MUNGU Katika Moyo Wako.
Kubali Kupoteza Kila Kitu Katika Maisha Yako Lakini Usikubali Kupoteza Imani Na Hofu Ya MUNGU Katika Moyo Wako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 15, 2026 #1,534,420 Kubali Kupoteza Kila Kitu Katika Maisha Yako Lakini Usikubali Kupoteza Imani Na Hofu Ya MUNGU Katika Moyo Wako.
Kubali Kupoteza Kila Kitu Katika Maisha Yako Lakini Usikubali Kupoteza Imani Na Hofu Ya MUNGU Katika Moyo Wako.