Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,541 “Kuwa makini unapokuwa kwenye kilele cha juu kabisa cha furaha. Kwani hapo ndipo shetani anapokufuata.” - Denzel Washington
“Kuwa makini unapokuwa kwenye kilele cha juu kabisa cha furaha. Kwani hapo ndipo shetani anapokufuata.” - Denzel Washington
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,542 Ukiwa sahihi, hakuna anayekumbuka. Lakini ukikosea, hakuna anayesahau.” - Muhammad Ali
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,543 “Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama kukutana na mtu mwenye roho nzuri na moyo safi.” - Mark Wahlberg
“Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama kukutana na mtu mwenye roho nzuri na moyo safi.” - Mark Wahlberg
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,544 Somo gumu zaidi unalopaswa kujifunza maishani ni kwamba, sio kila mtu anakutakia mema.” - Dan Rather
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,545 Tatizo ni kwamba, watu wakiwa wakweli wanachukiwa na wakiwa waongo wanapendwa.” - Bob Marley
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,546 Ota ndoto kubwa. Fanya kazi kwa bidii. Kuwa mnyenyekevu.” - Brad Meltzer
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,547 Badilika, lakini anza polepole. Kwa sababu, mwelekeo ni muhimu zaidi kuliko kasi.” - Paulo Coelho
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,548 Kwenye maisha, kukatishwa tamaa hakuepukiki lakini kukata tamaa ni chaguo lako.” - Charles Stanley
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,549 Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,550 Kwenye haya maisha, kuwa mnyenyekevu lakini usiwe mjinga.” - Peter Okoye
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,551 Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,552 Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,553 Kwenye haya maisha, kuwa mnyenyekevu lakini usiwe mjinga.” - Peter Okoye
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,554 Kesho unaweza kushangiliwa na watu wale wale waliokuzomea jana. Usikate tamaa, ongeza bidii.” - Tony Robbins
Kesho unaweza kushangiliwa na watu wale wale waliokuzomea jana. Usikate tamaa, ongeza bidii.” - Tony Robbins
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,555 Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.” - Pelé
Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.” - Pelé
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,556 Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.” - Pelé
Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.” - Pelé
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,557 Hatujawahi kukosa pesa. Tunachokosa ni watu wenye ndoto, ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya ndoto zao.” - Jack Ma
Hatujawahi kukosa pesa. Tunachokosa ni watu wenye ndoto, ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya ndoto zao.” - Jack Ma
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,558 Hatujawahi kukosa pesa. Tunachokosa ni watu wenye ndoto, ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya ndoto zao.” - Jack Ma
Hatujawahi kukosa pesa. Tunachokosa ni watu wenye ndoto, ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya ndoto zao.” - Jack Ma
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,559 Wakati mwingine, kuanza upya kuna faida zaidi kuliko kung'ang'ania ulipo.” - Eddie Hartwig
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2026 #1,534,560 “Ukiwaamini watu zaidi ya wanavyostahili, watakuumiza zaidi ya unavyostahili.” - Paulo Coelho