Mchongo mzuri ni ule unakukuta tayari umejipanga, lakini ule wa kusema ujipange kwanza sio rahisi kuukuta kama ulivyo tarajia kwa sababu hakuna fursa inayodumu ushindani ni mkubwa, hakikisha siku zote umejipanga na siri ni kujiongeza kila siku na kujifunza iwe utamaduni
Maisha yako unaweza kufanya chochote unachotaka, lakini kumbuka Adam na hawa walipo amua kufanya chochote walichotaka wao nini kilitokea?? Haijalishi uwezo wako, ujanja wako, ujasiri wako usiache kuwa na mipaka na kiasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.