Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fanya yale ambayo ulimwengu ulikuona huna sifa ya kuyafanya, ishi ndoto ambazo hukuziota, kuwa mfano mpya na kama chumba cha wafalme kimejaa, jenga chumba kipya cha mfalme wa wafalme, kama unafanya uliyo tazamiwa kufanya bado unafanya mambo ya kawaida toka kwenye comfort zone
 
1777733430643.jpg
 
Nenda google kisha type  Cineby ingia humo tafuta sehemu ya search andika jina la hii movie ipo humo
View attachment 3583396
Anyeong, I hope bado mpo na energy.
Babu yenu nguvu za kiume zimepungua.

Ok
Wenye machimbo ya siri nisaidieni kuipata hii filamu.

Inazungumzia maisha ya mfalme danjong (mjukuu wa mfalme sejong)

Aliondolewa madarakani kwa nguvu ya mjomba wake akiwa kijana mdogo.

Imetoka mwishoni mwa 2025 kama nitakuwa sahihi.

Sad ending 😢
Sad ending
Sad ending.

Intelligent businessman ,
Mac Alpho
Nifah dada mkubwa
Numbisa zee la cinema

talnam yuko wapi,
Gyeoul upo hai?
 
Tanzania ni moja tu hapa Duniani.
Na Serengeti ni moja na haina ushindani popote.


Screenshot_20260505-225701_Gallery.png
 
Back
Top Bottom