The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu wewe nakukumbuka vizuri sana,kina Numbisa,kuna mtu kama sijasahau alikua anajiita Myoyambend na wengineo,Kumbusha ile I'd, nakumbuka hiyo avatar yako lakini nimesahau jina.
Nakumbuka uliondoka kwa kutuaga.Mkuu wewe nakukumbuka vizuri sana,kina Numbisa,kuna mtu kama sijasahau alikua anajiita Myoyambend na wengineo,
Hiyo Id tuachane nayo tu mkuu.
😀😀
Sina mamlaka yeyote kwenye jamii mkuu.Nakumbuka uliondoka kwa kutuaga.
Baadaye profesa Shimba ya Buyenze alitudokeza kuhusu mamlaka uliyonayo kwenye jamii😂😂😂
Nimefurahi kuona Id yako.Maisha yana tudai maisha
Nianze na nani nimalizie na Nani?Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wada